Kiswahili ni somo lililojengwa kumpa mwanafunzi umahiri katika myanja mbalimbali za ujifunzaji wa kusoma, kuandika , kuhesabu na kutambua tahajia na ujenzi wa umahiri katika usomaji na uandishi wa mashairi.
Katika Shule ya Royal Elite yafuatayo hufanyika ili kuongeza umahiri wa matumizi ya lugha ya Kiswahili kwa wanafunzi:
- Maigizo
- Ngojera
- Hadithi
- Nyimbo
- Kughani mashairi
- Chemsha bongo